Jamani, kwa hiyo una assume kila mspmaji wa andiko lako anaelewa ulichoandika? heri usingeweka hili andiko, halisaidii wasomaji maana hakuna maelezo yoyote....wengine watesema hiyo ni wine...
Napend kusema hydroponic formula kama mnavyoona hapo juu hyo ndio picha ya package Jinsi ilivyo kwa nyanya pia hyo formula ya 4-18-38 nikiasi cha nutrients cha kama nitrogen phosphorus na magnesium iliyopo ndani ya hiyo plant food matumizi yake nikijiko kimoja kwa ltr 1 ya maji kwa mimea ambayo nimidogo
Vitu vya kuzingatia wakati wakuchanganya
1.hakikisha unatumia maji safi na salama yasiyo nikiasi kikubwa cha chumvi
2. Hakikisha nutrients zako mchanganyiko wake umechanganyika vizuri
3.pia uwe unbalance kama formula inavyoonyesha kwenye package
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.