bulbulmunar
Member
- Dec 17, 2015
- 56
- 14
Ni kampuni inayojiusisha Na utotoleshaji Wa vifaranga Na kuunza vifaranga aina ya Chotara(Malawi,chroiler,n.k).kampuni hii imesajiliwa kiserikali...inakupa fursa we we Mjasiriamali kuwezakupata vifaranga kwa bei nzuri...Tunapatikana mkoa Wa Mwanza ila biashara hii itamfikia hadi watu Wa mikoani.....Pia tunatoa nafasi kwa vikundi vilivyosajiliwa Na vikundi hivyo viwe Na katiba...kwa maelezo zaidi wasiliana nasi
...