Pata bidhaa bora za kukuzia vifaranga

Martin Mhina

Senior Member
Jul 24, 2013
169
37
Vyungu Vyungu vya Joto kwa ajili ya kukuzia vifaranga vinapatikana kwa bei ya Tsh 15000/= na bei Jumla kuanzia Vyungu 5 ni Tsh 14000/= ni vizito na imara ,vinatumia mkaa mchache na Chungu kimoja kinahudumia vifaranga 100 tupo Temeke wailes na mikoan tunatuma mawasiliano 0714994833/0755485807 Karibu
 
Ebu weka picha maana wengine ni wageni kwenye mambo haya..
FB_IMG_1486454779401.jpg
FB_IMG_1486454779401.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom