Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Make : Toyota Model : Harrier Mileage : 123,000km Engine size: 2200cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic M/Year : 2000 Doors : 5 Seats ...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina mwekezaji ambaye yupo tayari kuwekeza au kununua gold plots zako, mambo muhimu ni Leseni site plan, geological report kama unayo nitumie sms kwa 0689315582
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninataka sofa mbili. Moja ni la mtu mmoja mmoja na lingine la watu wawili. Mawasiliano yangu ni 0719094595. Njoo na bei nzuri inayoendana na utawala wa magu
0 Reactions
2 Replies
948 Views
LG G3 Mpya Gold 32GB, 3GB RAM INataka *430,000* Nicheck 0713239001 kwa maelezo zaidi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Si lazima sana dish dogo linalotumia KU LNB lifungwe kwenye canopy au fissureboard .Wasiliana sasa na wataalamu na wauzaji wa madishi aina zote ambayo humpa mteja uamuzi pakufunga dish lake mahali...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa yeyote aliye moro town nitafute ani PM kwa text.ntaakunganisha na wahudumu TiGO na M-PESA officers wakupatie vitendea kazi buree na maelekezo.
1 Reactions
0 Replies
655 Views
Tanzania Educational Publishers Ltd ni kampuni inayopatikana Bukoba mjini Mkoani Kagera. Tunachapisha na kuuza vitabu mbalimbali vya Kilimo na Mifugo kama vile Mwongozo wa Ufugaji bora wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Natafuta kijana wa kiume au ke mwny uzoefu wa kunyoa ili nimfungulie Salon,mishahara maelewano.nipo..Mbozi Mbeya.0757658783
0 Reactions
1 Replies
1K Views
..Umewahi kuwa na ndoto kubwa na malengo ila ukashindwa kutokana na ukosefu wa fedha?? Suluhisho limepatikana elnet Africa inakuletea mfumo rahisi wa kusaidiana kupata mtaji ambapo utamchangia...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Burnt brick wall.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Ninauza kiwanja (Plot) kilichopo Shinyanga Mjini, maeneo ya Viwanja vya Mwadui (Mageuzi) chenye Sifa zifuatazo; 1. Ukubwa wa Size 15 x 30 2. Kimepimwa 3. Kina nyaraka zote (Offer) 4...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Versatile & Spacious 14 Bedroom House for Rent Ideal for hostel or Charity / NGO housing projects – Rent $ 8000. This versatile and spacious property includes 14 bedrooms, 8 bathrooms. An...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
HAYA WADAU KWA MARA NYINGINE TENA....ZIMEBAKIA HIZO MASHINE.. KUNA LAPTOP AINA YA ACER ZIKO MBILI...NA SAMSUNG-270 1)ACER ipo ya internal memory 750 na nyingine ni infernal memory 350 Zote ni core...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo dar es salaam leseni ya udereva ina madaraja A,B,C,C1,C2,C3,D,E na cheti cha NIT mafunzo ya PSV. uzoefu zaidi ya miaka 11, hii ni kwa yeyote mwenye hata taarifa ya wapi kuna nafasi...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Making Icecream can be so much fun best part is you can make money out of it... I am sharing part of my know how and show you how you too can enjoy the benefits of this profitable business of...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Iwe katika Hali nzuri na usije na bei inayotoka nayo Japan. Bei yake naifahamu toka Japan hadi Dar... Hiyo hela Sina. Nipo Very Serious nahitaji hiyo gari njoo na bei nzuri tafadhari
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Asante kwa kuendelea kutuamini, tunaendelea kuboresha huduma zetu zaidi mara dufu, Tuna Special offer ya full package website, Domain pamoja na hosting kwa sh 200000 tuu! Hosting tunanzia sh...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari wanajamvi! Kwa wapenzi wa kuwekeza miti iliyobakiza miaka 3 kuvunwa inauzwa kwa bei nzuri mno! Ekari 12 pamoja na shamba inauzwa kwa gharama ya tsh mil; 37 tuu mazungumzo kdg yapo. Shamba...
2 Reactions
2 Replies
951 Views
Repellant spray ya mbu inahitajika kwa haraka mwenye nayo tuwasiliane mara moja nipo Arusha mjini.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
1. Kama una kaji mradi kako ama ka investment kako unawaza namna ya kuisukuma kwa bei ya kususa usiache kunistua tukae mezani tuongee. Naamini hatushindwani. 2. Kama una nyumba yako ama kibanda...
0 Reactions
2 Replies
812 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…