Je unamiliki gold plots au mgodi wa dhahabu???

Je unamiliki gold plots au mgodi wa dhahabu???

Mcgregor

Member
Joined
May 3, 2013
Posts
79
Reaction score
5
Nina mwekezaji ambaye yupo tayari kuwekeza au kununua gold plots zako, mambo muhimu ni Leseni site plan, geological report kama unayo nitumie sms kwa 0689315582
 
Bado natafuta wachimbaji wanaomiliki leseni za madini aina ya Gold
Kama unazo julisha na wengine wenye nazo ili kupata wachimbaji wengine pia wenye leseni hizo , uhitaji ni hekari 200 hivi.mwekezaji yupo tayari kuzilipia na kuchukua umiliki wa leseni hizo na bado atakuhitaji kufanya nae kazi akianza shughuli za uchimbaji ikiwa upo interested na una ujuzi. Tafadhali nitafute kwenye mawasiliano hayo niliyoweka
 
Nina maeneo kilindi na manyara. Ni pm au call 0767 102102
 
Nina mwekezaji ambaye yupo tayari kuwekeza au kununua gold plots zako, mambo muhimu ni Leseni site plan, geological report kama unayo nitumie sms kwa 0689315582
Mkuu bado unahitaji?kuna plot iko singida eneo la londoni
 
Back
Top Bottom