Nitapata wapi mosquito reppelant spray Arusha

TIASSA

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
2,925
3,529
Repellant spray ya mbu inahitajika kwa haraka mwenye nayo tuwasiliane mara moja nipo Arusha mjini.
 
Sijajua UNAZUNGUMZIA nini kweni hizi rungu, hit, si ndio reppelant zenyewe na zinapatikana maduka kama yote
 
zile ambazo zinatumika porini, unajipulizia mwenyewe ili usiumwe na mbu, zinazo patikana sana nizile za kujipaka,
 
Nenda MOONA'S PHAMARCY IPO CHINI KIDOGO YA NBC CLOCK TOWER BRANCH, UKIKOSA HAPO NDO BASI TENA.
 
asante mkuu ngoja nikacheki hapo

Kama Moona's wamefunga, maana mda umeenda kuna Phamarcy mitaa ya huku kwetu Njiyo kituo kinaitwa Fibre nane nane, ukimuuliza mtu yeyote pharmacy kubwa hapo atakuonyesha, hawa huuza 24 hours a day. I am convinced those are the two reliable pharmacy.
 
poa njro ni mitaa yangu pia nitapita apo jioni thank u again
 
tumia ya kienyeji, tafuta maganda ya miti yenye umri wa miaka120 yachome ule moshi wake ni dawa tosha ya mbu
 
Back
Top Bottom