Natafuta gari aina ya Toyota liteace Noah ya mwaka 1997

jmwalu

Member
Nov 24, 2010
71
50
Iwe katika Hali nzuri na usije na bei inayotoka nayo Japan. Bei yake naifahamu toka Japan hadi Dar... Hiyo hela Sina. Nipo Very Serious nahitaji hiyo gari njoo na bei nzuri tafadhari
 
Umepata au bado?
 
Back
Top Bottom