Index Technology Tanzania

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,551
1,776
Asante kwa kuendelea kutuamini, tunaendelea kuboresha huduma zetu zaidi mara dufu, Tuna Special offer ya full package website, Domain pamoja na hosting kwa sh 200000 tuu!

Hosting tunanzia sh 40000 kwa mwaka.

Database system pia zipo mpya za kisasa kama za inventory with POS zenye uwezo wa kusimamia biashara yako popote na kuunganisha biashara zako kwa system moja tuu. Pia tuna file management system kwa jili ya kutunza files, documents n.k online na ku share kwa watu maalumu.

Kazi zetu ni nzuri na za kisasa, support yetu ni 24/7 kupitia live chart kwenye website yetu, tembelea www.index.co.tz kwenye portfolio link juu.

Website zetu zote ni content management ili kila mteja aweze ku updates website yake mwenyewe na maramara.

Tuna tengeneza business cards nzuri na za heshima kwa yeyote, tembelea our shop juu au Instagram page yetu.

Tuna mengi ya kukuhakikisha ushindi kwenye biashara.

Tuwasiliane 0715812160 au 0764 45 24 24.
Email: info@index.co.tz
Website www.index.co.tz

Asanteni.
1487672460918.jpg
 
All our website are responsive and content management, that every one can edit their website.
2489f2a54f6d049dc9f048465f812718.jpg
 
Software ya biashara sh ngap? Na ina hosting ..ina back up au ni ooffline.? Na unaweza iunganisha na efd?
 
Software ya biashara sh ngap? Na ina hosting ..ina back up au ni ooffline.? Na unaweza iunganisha na efd?
Inaanzia laki 5 mkuu, kuhusu hosting nadhani una maanisha inafanya kazi online, ndio inafanya online na offline. Ikiwa online unaweza simamia biashara zaidi ya moja kwenye system moja. Offline unaitumia sehemu moja tuu. Unaweza unganisha na thermal printer yeyote kama Epson, Bioxline n.k, pia cash draw na Scanner code device. Karibu sana.
 
Back
Top Bottom