Habari wanajamvi! Kwa wapenzi wa kuwekeza miti iliyobakiza miaka 3 kuvunwa inauzwa kwa bei nzuri mno! Ekari 12 pamoja na shamba inauzwa kwa gharama ya tsh mil; 37 tuu mazungumzo kdg yapo. Shamba lipo ndani ya manispaa ya mji wa mafinga kilomita 9 toka mafinga town centre. kwa muhitaji anicheki nikamuoneshe shamba. whatsaap! no 0628 07 37 28.