Tunauza Vitabu vya Kilimo na Mifugo

TEPU LTD

Member
Dec 6, 2016
20
5
Tanzania Educational Publishers Ltd ni kampuni inayopatikana Bukoba mjini Mkoani Kagera. Tunachapisha na kuuza vitabu mbalimbali vya Kilimo na Mifugo kama vile Mwongozo wa Ufugaji bora wa Samaki, Ufugaji Bora wa Kuku, Magonjwa ya Mifugo, Malisho ya Mifugo, Kilimo Bora cha Alizeti, Kanuni za Ukulima wa Kisasa, Kilimo cha Umwagiliaji N.k. Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu namba 0784690277/0768023019, au baruapepe tepultd@yahoo.com au tembelea tovuti www.tepu.co.tz

Tutakuletea Vitabu Popote ulipo ndani ya Tanzania.

Nyote mnakaribishwa
 
Back
Top Bottom