Fursa kwa wajasiriamali wadogo na wafanyabiashara

Getl

Member
Jan 27, 2017
24
5
..Umewahi kuwa na ndoto kubwa na malengo ila ukashindwa kutokana na ukosefu wa fedha?? Suluhisho limepatikana elnet Africa inakuletea mfumo rahisi wa kusaidiana kupata mtaji ambapo utamchangia MTU shs 10000 na wew utachangiwa na zaidi na watu wa chini yako ambpo utaweza ingiza 720000 ndani ya siku 42 au million 1 ndani ya hata wiki 3 karibu sana tufanye kazi kwa pamoja tutimize ndoto zetu kwa atakae hitaji maelezo zaidi na jinsi yakujiunga ni cheki whatsup 0623976725
 
no easy task! ndio maana hawakuchangia toka mswaki hadi jioni hii. fafanua zaidi utushawishi.
.*ELNET AFRICA LTD*
Entrepreneur Leaders Network.
_______________________
JIUNGE LEO UNUFAIKE .
_______________________

*Elnet Africa*
_____________
Ni OnLine Donation Platform iliyoasisiwa hapa Tanzania.

Muasisi wa Elnet Africa ni Mtanzania mwenye maono na ndoto ya kuwafanya Watanzania na Africa kwa ujumla kujipatia kipato kwa njia halali ya kuchangiana.

Muasisi huyu anaitwa *Deo Mbassa*

*JINSI MFUMO UNAVYOFANYA KAZI*

Kujisaliji ni bure, usajili wa bure unadumu kwa saa 24 tu.
Hapa utapata account yako ya Elnet Africa lakini itasoma *grade 0* kwa sababu utakuwa hujachangia chochote.

Ili kupanda kutoka *grade 0 kwenda grade 1* utatakiwa kummchangia aliyekushirikisha fursa hii Tsh 10,000/= Tu.
Baada ya hapo system itakupatia *Link* yako ambayo utaitumia kusajili watu chini yako.

Baada ya hapo na wewe utawashirikisha watu 6 watakaokuchangia *Tsh 10,000/=* kila mmoja jumla utapata *Tsh 60,000/=*

Ukishapata michango ya watu 3 au 4 unashauriwa kupanda/Ku Upgrade kwenda *grade 2.* kwa kuchangia Tsh. 20,000/-

Daraja/Grade 2:
_________________
Pokea michango ya *Tsh 20,000* kutoka kwa watu 36 wanaotokana na wale watu 6 uliowashirikisha.
*20,000×36=720,000/=*

Panda daraja/grade 3 kwa kuchanga Tsh 30,000/=

Daraja/grade 3:
________________
Pokea michango ya *Tsh 30,000/=* kutoka kwa watu 216 wanaotokana na watu 36 wa daraja lako la pili.
*30,000×216=6,480,000/=*

Panda daraja/grade 4 kwa kuchanga Tsh 140,000/-

*KWA NINI 140,000/-*?.
Unapoingia grade 4 system itakuonyesha watu wawili wa kuwachangia.

1. Utaiona Elnet Africa, ambapo utachangia 100,000/- ( laki moja ) kwa ajili ya kampuni.

2. Upliner/mtu wa juu yako zaidi ambapo utamchangia 40,000/- ( elfu 40 ).
*Jumla ni 140,000/-*

Daraja/grade 4:
________________
Pokea michango ya *Tsh 40,000/=* kutoka kwa watu 1296 wanaotokana na watu 216 wa daraja lako la 3.
*40,000×1296=51,840,000/=*

Panda daraja/grade 5 kwa kuchanga Tsh 50,000/=

Daraja/grade 5:
________________
Utapokea michango ya *Tsh 50,000/=* kutoka kwa watu 7776
*50,000×7776=388,800,000/=*

Panda daraja/grade 6 na la mwisho kwa kuchanga Tsh 60,000/=

Daraja/grade 6:
________________
Utapokea michango ya *Tsh 60,000/=* kutoka kwa watu 46656.
*46656×60000=2,799,360,000/=*

*UHALALI WA FURSA HII*
________________________
Fursa hii imesajiliwa hapa nchini Tanzania,
Inalipa kodi halali za Serikali.


Mfumo unaruhusu Spillover, kwa hiyo upline wako akiwa na watu wengi watashuka kwako.

Malipo yanafanyika kwa shilingi za Kitanzania, yaani hukuna usumbufu wa kujiunga na wallets.

Karibu tufanye kazi kama team ili tufanikiwe kwa pamoja.

UKISHAMALIZA KUSOMA NAOMBA UJE KWENYE GROUP UULIZE MASWALI PALE AMBAPO HUJAELEWA

Asante.


*ElnetAfrica Team*
 
Ni kitu gani mnachozalisha zaidi ya kukusanya ela ya huyu na yule akapewa huyu, yule akapewa yule lazima mwisho wa siku apatikane atakayeliwa.
Ni ponze scheme
Najaribu Ku attach lkni inakataa ila scheme yake IPO text me WhatsApp through 0623976725 nakutumia scheme yake na maelezo mengne ya ziada jinsi gani utakavyo pata faida wew na watu wako and if u will be stratified ni bure kujiunga na kufungua account
 
Usipende ugomvi na watu jaribu kufata yako kama unaona kwako ni utapeli hujaombwa utoe maoni hapa mind your own business Mr it will help you
Lazima nitoe maoni mkuu, usingetaka maoni hili jambo lako usingeliweka hapa, utamwabiaje mtu ambaye ana tatizo la mtaji achangie 10,000? Punguza povu mkuu, au ni utapeli kweli? Mbona unakuwa mkali kiasi hicho?
 
Lazima nitoe maoni mkuu, usingetaka maoni hili jambo lako usingeliweka hapa, utamwabiaje mtu ambaye ana tatizo la mtaji achangie 10,000? Punguza povu mkuu, au ni utapeli kweli? Mbona unakuwa mkali kiasi hicho?
OK kifupi ni hiari ya mtu kujiunga sio lazima asante kwa maoni yko
 
Lazima nitoe maoni mkuu, usingetaka maoni hili jambo lako usingeliweka hapa, utamwabiaje mtu ambaye ana tatizo la mtaji achangie 10,000? Punguza povu mkuu, au ni utapeli kweli? Mbona unakuwa mkali kiasi hicho?
wewe ndio hujielewi kabisa nyinyi mnapinga kuwa watu wafanye kazi nyingine eti wakalime je unajua bei ya mbegu?
je unajua bei ya mbolea?
je unajua duration mpaka mmea uote mpaka kuvunwa?
je huoni kama mtu akijiunga na Elnet ataweza kupata mtaji wa kufanya haya yote coz atapata mtaji ndani ya muda mfupi na wakati anasubiri avune mazao yake ambayo mengine hufika hadi miezi 6 ataweza pata pata pesa ya kununua chakula, kulipa bili mbali mbali, kulipa odi kama amepanga?
 
Back
Top Bottom