NAUZA KIWANJA BEI CHEEEE

G.T.L

JF-Expert Member
Jul 15, 2012
1,055
2,034
Wakuu,
Ninauza kiwanja (Plot) kilichopo Shinyanga Mjini, maeneo ya Viwanja vya Mwadui (Mageuzi) chenye Sifa zifuatazo;
1. Ukubwa wa Size 15 x 30
2. Kimepimwa
3. Kina nyaraka zote (Offer)
4. Kimepakana na Barabara mpya
5. Kipo karibu na Bomba la Maji
6. Nguzo za Umeme zipo Karibu

Bei Tshs.3,000,000/= (Shilingi Milioni Tatu tu!)
Ahsante!!

Mawasiliano:-

0754-245212
0717-020751
Njoo tuelewane
 
Back
Top Bottom