Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wana bodi, Nina eneo Dar lenye ukubwa wa heka moja, lipo mwasonga kigamboni, nimehamia Dodoma kama sehemu ya mpango ya uhamishaji wa shughuli za serikali kutoka Dar kwenda Dodoma...naomba mwenye...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kujua Ipi ni gari imara kati ya RAUM NEW MODEL na SPACIO NEW MODEL,ambayo unaweza weza kwenda nayo mkoani bila shida yoyote.Asante
0 Reactions
2 Replies
717 Views
HP laptop on sale.. Processor 1.80GHz RAM 2gb Hard disk 500 400000/= (negotiatable) +255759283908
1 Reactions
4 Replies
847 Views
Ninatafuta Kiwanja Dodoma mjini..Bajet yangu 4M....
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari,wakuu nahitaji kujua wapi wananunua chuma chakavu vya magari!, Asanteni!
0 Reactions
2 Replies
859 Views
wakuu mambo vipi nauza shamba langu la ukubwa wa hekari moja plus liko mkuranga mbele ya Hospitali ya wilaya ya mkuranga shamba liko karibu kabisa na barabara kuu bei yangu ni million sita cash...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanaJF napenda kuwajulisha kuwa tunatoa huduma za Accounting services (VAT returns, Trial Balance, stocking) kwa makampuni au maduka ya watu binafsi. Kwa maelezo zaidi au maswali ni cheki...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Habari wadau! Nauza shamba, lipo katika kijiji cha Kisande karibu na kwa Mtoro wilaya ya Nchemba zamani ilikuwa sehemu ya wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma. Shamba Lina ukubwa wa ekari 5. Linafaa kwa...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Habari zenu wapendwa, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea na majukumu ya kusukuma gurudumu la maisha. Nisingependa kuweka personal life yangu hapa, sema imenibidi kulingana na hali halisi...
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Hii ni habari njema kwako wewe mfugaji wa kuku, nguruwe, mbuzi, ng'ombe n.k H-Fodder (Hydroponic Fodder) ni chakula kwa ajili ya mfugo aina mbalimbali chenye virutubisho vingi vinavyohitajika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
metre 36 kwa 70 nusu heka kipo KAWAWA barabara ya masister nyuma ya Anwarite girls sec metre 197 juu y kutoka ilipo lami ya Moshi Dar kina hati ya kimila offer 12mill negotiable 0621068486...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau! Nauza shamba, lipo katika kijiji cha Kisande karibu na kwa Mtoro wilaya ya Nchemba zamani ilikuwa sehemu ya wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma. Shamba Lina ukubwa wa ekari 5. Linafaa...
0 Reactions
3 Replies
963 Views
habari wana jf! Leo ninawaletea sanaa ya kupaka rangi ukuta kwa kutumia patterns na kuuachaa ukuta wako unapendeza zaidi ya wallpapers. Utahitaji rangi tu na stencils ambazo sisi tunazo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu wakuu, Kwa wale wafugaji na waandaaji wa vyakula vya mifugo, uduvi unapatikana, kwa taarifa zaidi wasiliana kwa hii namba 0764323820
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Make : Toyota Model : Harrier Mileage : 123,000km Engine size: 2200cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic M/Year : 2000 Doors : 5 Seats ...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina mwekezaji ambaye yupo tayari kuwekeza au kununua gold plots zako, mambo muhimu ni Leseni site plan, geological report kama unayo nitumie sms kwa 0689315582
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninataka sofa mbili. Moja ni la mtu mmoja mmoja na lingine la watu wawili. Mawasiliano yangu ni 0719094595. Njoo na bei nzuri inayoendana na utawala wa magu
0 Reactions
2 Replies
948 Views
LG G3 Mpya Gold 32GB, 3GB RAM INataka *430,000* Nicheck 0713239001 kwa maelezo zaidi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Si lazima sana dish dogo linalotumia KU LNB lifungwe kwenye canopy au fissureboard .Wasiliana sasa na wataalamu na wauzaji wa madishi aina zote ambayo humpa mteja uamuzi pakufunga dish lake mahali...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa yeyote aliye moro town nitafute ani PM kwa text.ntaakunganisha na wahudumu TiGO na M-PESA officers wakupatie vitendea kazi buree na maelekezo.
1 Reactions
0 Replies
655 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…