Pole na majuku ya kila siku.

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
449
140
Naomba kujua Ipi ni gari imara kati ya RAUM NEW MODEL na
SPACIO NEW MODEL,ambayo unaweza weza kwenda nayo mkoani bila shida yoyote.Asante
 
Spacio new model, sio TU kwamba ni imara Ila inatulia barabarani ukiwa kwenye mwendo mkali kuliko Raum
 
Back
Top Bottom