Plot4Sale KIWANJA KINAUZWA MADALE, MTEJA WA HARAKA ANAHITAJIKA

Anko Elly

Member
Feb 22, 2017
69
70
Habari zenu wapendwa, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea na majukumu ya kusukuma gurudumu la maisha.

Nisingependa kuweka personal life yangu hapa, sema imenibidi kulingana na hali halisi iliyopo hivi sasa.

Nimepambana sana na Mzee wangu kutafuta matibabu lakini imeshindikana, ndio tukapata shauri la kuuza eneo lake ili tuweze kupata hela ya kwenda kutibiwa nje.

Nimeambatanisha na picha ya eneo ambalo lipo Madale nyuma ya kiwanda cha wazo, kiwanja hakina hati sema kina nyaraka zote muhimu na kinatambuliwa kuanzia ngazi ya shina mpaka serikali za mitaa.

Kwa yeyote yule aliyte ayari anaweza kunicheki PM

Bei yake inaanzia milioni 20 mazungumzo yapo, pia mnunuzi anaweza kulipa kwa awamu mbili kulingana na bei tutakayoafikiana.

Huduma za msingi karibu zote zimefika, ikiwemo maji, barabara, umeme n.k

Karibuni sana
 

Attachments

  • Iamge2.jpg
    Iamge2.jpg
    11.5 KB · Views: 59
  • Iamge3.jpg
    Iamge3.jpg
    18.1 KB · Views: 56
  • Iamge4.jpg
    Iamge4.jpg
    29.1 KB · Views: 56
  • Iamge5.jpg
    Iamge5.jpg
    25.7 KB · Views: 59
Inshaallah Mungu atampa afueni mzazi.
Ungewawekea watu ukubwa wa hicho kiwanja ingeka poa sana
Good luck bro
 
Back
Top Bottom