H-Fooder Mkombozi wa wafugaji

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,582
Hii ni habari njema kwako wewe mfugaji wa kuku, nguruwe, mbuzi, ng'ombe n.k
H-Fodder (Hydroponic Fodder) ni chakula kwa ajili ya mfugo aina mbalimbali chenye virutubisho vingi vinavyohitajika kuboresha ukuaji, unenepaji na ongezeko la mazao (mayai na maziwa) toka kwenye mifugo.
J&B Enterprises tunatoa elimu ya namna ya kuzalisha chakula hicho mahali ulipo. Pia tunasambaza chakula hicho kwa order maalum. Zifuatazo ni huduma tunazozitoa:-
Tunauza mbegu kwa ajili ya kuotesha H-Fodder
Tunauza trei
Tunauza virutubisho (nutrients za mimea) pamoja na dawa za kuzuia ukungu.
Tunatoa ushauli wa kitaalam namna ya kuzalisha na kulisha mfugo.
Mawasiliano yetu utayapata chini hapa hapa.
Pamoja tuijali mifugo yetu.
upload_2017-3-4_14-19-47.jpeg


upload_2017-3-4_14-20-28.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom