Msaada:wapi wana na nunua vyuma chakavu vya magari?

Msaada:wapi wana na nunua vyuma chakavu vya magari?

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Habari,wakuu nahitaji kujua wapi wananunua chuma chakavu vya magari!,
Asanteni!
 
Habari,wakuu nahitaji kujua wapi wananunua chuma chakavu vya magari!,
Asanteni!
Fika veterinary kama una enda mikoroshini kuna maduka yananununa ni kati ya baa inaitwa Geneva na Image kama upo dar es salaaam
 
Back
Top Bottom