Wall stencils; Sanaa ya kupaka rangi zinazofanana na wallpapers

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
2,162
3,086
habari wana jf!
Leo ninawaletea sanaa ya kupaka rangi ukuta kwa kutumia patterns na kuuachaa ukuta wako unapendeza zaidi ya wallpapers.

Utahitaji rangi tu na stencils ambazo sisi tunazo, tunatumia hand made stencils ambazo tumezi design kwa utaalamu wa hali ya juu.

Kwa kutumia rangi badala ya wallpapers, kazi zetu hudumu zaidi. Tunatoa garantii ya zaidi ya miaka mitano kwa kazi tutakayo kufanyia.

GHARAMA;
Kwa tsh 130,000/= tu kwa ukuta, tutaku designia ukuta wako, gharama inajumuisha ufundi na materials. Kwa kazi ya zaidi ya ukuta mmoja ni maelewano tu na kwa kazi inayoanzia square metre 60 na kuendelea ni 8,000/= kwa square metre.
IMG_2543.jpg

Mfano wa kazi iliyofanyika kwa 130,000/=

Pia tunafanya wall skimming na paintings.

Kwa wateja ambao watatupa kazi ya skimming+painting+stencils gharama itapungua zaidi.

Gharama zetu ni nafuu zaidi tupigie 0713553387 kwa ajili ya quotation au sajophin@gmail.com

IMG_2543.jpg

IMG_1695.JPG
IMG_1697.JPG


 

Attachments

  • IMG_1696.JPG
    IMG_1696.JPG
    38.1 KB · Views: 26
  • IMG_1701.JPG
    IMG_1701.JPG
    20.9 KB · Views: 23
  • IMG_1700.JPG
    IMG_1700.JPG
    26.1 KB · Views: 24

Similar Discussions

Back
Top Bottom