Shamba linauzwa

Musaru

Member
Jul 5, 2015
38
24
Habari wadau!

Nauza shamba, lipo katika kijiji cha Kisande karibu na kwa Mtoro wilaya ya Nchemba zamani ilikuwa sehemu ya wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma. Shamba Lina ukubwa wa ekari 5. Linafaa kwa kilimo na matumizi mengine, miundombinu ya usafiri na usafirishaji ipo, kilimo cha maeneo hayo hutumia hasa hasa trecta pia unaweza kupata mashamba mengine kadri utakavyozidi kuwa na uenyeji. Nimeamua kuliuza kwa sababu nina makazi na uwekezaji sirari, kwa hiyo nimeona uangalizi utakuwa wa shida kwani mwangalizi wangu amehamia Mbeya. NALIUZA TSH 200,000/=@ EKARI,KARUBUNI
 
Hecta?? Au ekari??
1 Hecta (hectare) = 2.5 ekari ( acre)
Fafanua mkuu ulichokusudia kutangaza. Je hiyo bei ya Tzs 200, 000 @ Hecta??? Au ulikusudia kusema Tzs 200,000@ acre.
 
Habari wadau!

Nauza shamba, lipo katika kijiji cha Kisande karibu na kwa Mtoro wilaya ya Nchemba zamani ilikuwa sehemu ya wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma. Shamba Lina ukubwa wa ekari 5. Linafaa kwa kilimo na matumizi mengine, miundombinu ya usafiri na usafirishaji ipo, kilimo cha maeneo hayo hutumia hasa hasa trecta pia unaweza kupata mashamba mengine kadri utakavyozidi kuwa na uenyeji. Nimeamua kuliuza kwa sababu nina makazi na uwekezaji sirari, kwa hiyo nimeona uangalizi utakuwa wa shida kwani mwangalizi wangu amehamia Mbeya. NALIUZA TSH 200,000/=@ EKARI,KARUBUNI
Nami ninalo hukohuko chemba ekari 60 nipigie 0683670160
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom