Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
1 Reactions
3 Replies
800 Views
HP laptop on sale.. Processor @1.80GHz intel RAM 2gb Hard disk 300 350000/= (negotiatable) (Kila kitu kipo sawa isipokua kua up arrow na Down arrow ndo zimekufa) +255759283908
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Jamani nataka kununua gari ya kutembelea mimi shughuli zangu ni ndogo2 naipenda sana starlet au duet na nipe ubora wake kama starlet ila duet nackia spea ghari na hata kuna gari aina hizo ndogo2...
1 Reactions
28 Replies
12K Views
Ina vyumba vitatu. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa 400 sqmts. Kiwanja chake kina hati miliki. Ipo katika barabara kubwa inayoonganisha barabara mbili kubwa...New Bagamoyo road na Mwai kibaki...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Salaam. Kuna mdau humu anaitwa Abdulwahad alikua ktika uzi kadhaa. Alikua anauza vifaa vya umeme i.e tv toka Zanzibar. Ninahitaji tv ila sioni uzi zake zote. Uko wapi Abdulwahad???
0 Reactions
5 Replies
1K Views
*IPHONE 7 PLUS* *256GB* *JET BLACK* *SIMU TU* *TSH :2,100,000.* Iphone 6 (128gb) bei 950 Iphone 6+ (128gb) bei 1150000 Iphone 6+ (64gb) bei 1.1m Iphone 6 plus fullbox bei Kwa maelezo na picha...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
HEBU JITAFAKARI JE UMEANDIKIWA KUISHI MAISHA UNAYOISHI SASA HUYU KAKA Anaitwa Hassim Orison Shayo,ni Senior manager wa Oriflame alianza Oriflame tareh 6/6/2016 Yaani mwaka Jana.. Ana miezi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cc 2000 Insurance mpaka mwakan Road lisence mpaka 10/03/2000 Haina tatizo lolote uko kama ilivo kwenye picha ilikua haitumiki sana toka imenunuliwa . Ac inafanya kazi. Cc 2000 Insurance mpaka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba yeyote anayeuza au kujua mtu anayeuza Ng'ombe wa maziwa anayekamuliwa lita kuanzia 6 kwa mkamuo, naomba anitaarifu nahitaji ng'ombe wawili wa aina hiyo. Kama wakiwa jamii ya...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Huna haja ya kuwa na hofu na usalaama katika eneo lako la kazi au nyumbani kwako kutana na GS POWER LTD hawa ni wafungaji wa CCTV camera system,Fensi za umeme ,motor za kufungua geti automatic pia...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Nyumba ya kupanga.maeneo ya kimara mpka mbezi.nyumba nzima.plse inbox..
0 Reactions
1 Replies
742 Views
Habari nauza Diapers nzuri sana za watoto za kufua. Zipo kama zinavoonekana kwenye picha,muonekano mzuri.Diapers moja ni Tsh 22,000/= inakuwa moja pamoja na nappy(insert) yake moja. Ukihitaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
6s rose gold 16GB inataka 900
0 Reactions
2 Replies
618 Views
Habari wakuu; Hapa naongelea zile silver wanazopenda kuvaa dada zetu_ Pia na wale wanaume wanaojipenda na kwenda na wakat Inshu sio silva iliyotengenezwa Bali ni ule uchafu unaopatikana baada ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wenyeji wa wilaya ya Bunda hasa eneo la Bunda mjini au karibu na Bunda mjini nahitaji shamba au kiwanja Kwa ajili ya Makazi na kilimo,hata maeneo ya Nyamuswa sio Mbaya, msaada wenu tasavali.
0 Reactions
2 Replies
923 Views
nauza vifaa vya chipsi:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anyone selling laptop in a good condition with a good price
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nahitaji kujua ni wapi naweza kupata wanunuzi wa hizo mbegu tajwa hapo kutokana na umuhimu wake kwani imekuwa ikitumiwa kutengeneza bidhaa nyingi ikiwemo oil za magari, dawa...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Airtel acheni kutudanganya na mb 100 za YouTube bure. Inakera kuona kuona unadanganywa waziwazi maana tukiwa YouTube izo mb hazitumiki inatumika mobile data ya kawaida, tuomba mtueleze ukweli sio...
3 Reactions
2 Replies
802 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…