Morogoro: chumba cha biashara & uwanja wa makazi vinatafutwa!!!!!

Dundo_Boy

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,458
2,464
Haya wenye habari za uhakika tusaidiane hapa,
1. Kinatafutwa chumba kidogo cha kupangisha kwa ajilk ya biashara maeneo: kwa chambo, maghorofani, nane nane, au pengine penye makutanio ya watu wa aina zote

2. Kinatafutwa kiwanja kwa ajili ya makazi, maeneo ya mkundi, lukobe, chingolwila, lukobe, ama popote...

3. Vitu hivyo vinatafutwa na mtu wa kipato cha chini, isije ikaleta shida kwa wale wapenda fedha za bure bure.....!!!!. Kwa wenye navyo mnifuate PM ili tuzungumze na niwapatie maelezo toka kwa mhusika....asanteni
 
Wasiliana na hawa jamaa watakusaidia sana kama hutajali

Munyu Real Estate Agency
Jengo la Pamba
Ofisi namba 16
Morogoro,Tanzania

Tembelea hapa utaona mawasiliano yao
www.munyuestate.com
 
Sawa asante, mwezi Jana nimewahi wasiliana nao lakini haikusaidia

Wasiliana nao tu ni wazuri sana mimi wamenifanikishia vizuri kabisa labda ulikuwa na haraka sana,jamaa hawababaishi ni mpaka wajiridhishe mf uhalali wa kiwanja,nk lakini bei zao ziko chini sana,kiufupi mimi nilipelekwa na jamaa mmoja hivi ambaye naye walimsaidia vizuri kiufupi hawa jamaa wakiendelea kutoa huduma vile madalali kanjanja watakimbiwa
Wasiliana nao tena mdau mimi naamini watakusaidia,usikate tamaa
 
Sawa, ngoja niwarudie tena ili nione....Ila sitakuwa na haraka tena
 
Kiwanja cha makazi kipo lukobe kimepimwa kina offer bei ni milioni 3.5, kina ukubwa wa 30 kwa 35, mm ndio mmiliki
 
Back
Top Bottom