Plot4Sale KIWANJA HEKA 6 KINAUZWA BAGAMOYO KILOMO

Iweee

Member
Mar 9, 2017
6
0
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 6 kilichopo kata ya Kilomo wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.

Kwa atayehitaji kukatiwa ruksa, sema kuanzia heka moja na kuendelea, umbali kutoka barabara ya lami ni 1.5km, ukitoka Dar ni kituo kilicho mbele ya kwa Awadh.

Maendeleo yamekwisha kufika ikiwemo maji, umeme na huduma nyingine za msingi halikadhalika zipo.

Bei ya heka moja inaanzia 28milioni mazungumzo nakaribisha. Kama unahitaji nicheki PM
 
Kiromo ipi upande gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom