Upatikanaji wa viwanja Dodoma mjini na Morogoro

Wise Sister

Member
Joined
May 27, 2014
Posts
52
Reaction score
52
Ndugu wanajamii forum Salam. Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa upatikanaji wa viwanja Dodoma mjini anijuze. Viwanja vilivyopimwa vinapatikana sehemu gani kwa bei gani nna ipi ni sehemu nzur kujenga nyumba ya makazi Dodoma? Nitashukuru Sana. Hata aliye na uelewa wa upatikanaji wa viwanja Morogoro mjini nitashukuru Sana. Asanteni
 
Wasiliana nasi 0719550577 tutakutafutia kiwanja cha ukubwa unaotaka ndani ya manispaa ya Dodoma.
 
Ndugu wanajamii forum Salam. Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa upatikanaji wa viwanja Dodoma mjini anijuze. Viwanja vilivyopimwa vinapatikana sehemu gani kwa bei gani nna ipi ni sehemu nzur kujenga nyumba ya makazi Dodoma? Nitashukuru Sana. Hata aliye na uelewa wa upatikanaji wa viwanja Morogoro mjini nitashukuru Sana. Asanteni
Weka namba yako ya simu ili tuweze kuwasiliana.
 
Kama unataka viwanja kwa bei boa nenda michese au nala hutajuta kutoa pesa yako waweza ni PM
 
Back
Top Bottom