Inategemea,unataka aina gani ya pamp,Jamani mm ni mwanachama mpya humu jamii forum nilikuwa naulizia pump kwa ajili ya kilimo zinapatikana wapi na zinauzwa kiasi gani pump ndogo za kumwagilia at least ekali 1 mpaka 5
Upo sehem gan. Kama upo kijijini, nenda mjini tembelea maduka ya hardware utapataMm sizijui nataka ya petrol isiwe ya bei kubwa mana ndo nataka ujasiriamali through kilimo!!
Zipo nyingi inategemeana n mahitaji kuna za nchi 2, 2.5 na 3 kwa kampuni nazojua ni kingmax, Honda, warrior, nk bei zina range laki 2-5 inategemeana na ukubwa wa mashine na sehemu unapoenda kununuaJamani mm ni mwanachama mpya humu jamii forum nilikuwa naulizia pump kwa ajili ya kilimo zinapatikana wapi na zinauzwa kiasi gani pump ndogo za kumwagilia at least ekali 1 mpaka 5
Ukishaipata uje nikuuzie drip irrigation system bei ya mterezo coz ni mwanaJFJamani mm ni mwanachama mpya humu jamii forum nilikuwa naulizia pump kwa ajili ya kilimo zinapatikana wapi na zinauzwa kiasi gani pump ndogo za kumwagilia at least ekali 1 mpaka 5
Ngoja nikuulizie kwa fundi wa hizo mashine hata kama hana za kuuza anaweza kushauri ipi nzuri na bei zakeBado mkuu
Pouwa pouwa fanya hvyo ndugu yanguNgoja nikuulizie kwa fundi wa hizo mashine hata kama hana za kuuza anaweza kushauri ipi nzuri na bei zake