Natafuta dagaa wakukaangwa

Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,052
4,101
nataka nianze hii.biashara hii ya dagaa nahitaji mtu anaeuza kwa debe ili me niwe nafunga kwenye vimfuko vidogo nakuuza 500,1000 nataka nijue bei ya debe
pia wadau naombeni mniambie kama hii biashara hii inalipa bado sijaifanyia utafiti
 
Debe sh. 50,000/= nakutumia hapo ulipo: Dar, Mbeya, Morogoro na Dodoma.
Kuanzia debe 10(ndoo ya plastic ya Lt 20)
 
duh 50000 mbona niko musoma hiyo bei iko juu sana...
sisi uku kwet wanauzaga kwenye vimfuko vidogo sh.500 ambacho.ni.sawa na kikombe cha robo lita sasa kwa debe makisio vinatoka kama 100 ivyo basi utapata 50000 hapo.haujanunua vimfuko vyakufungia aisee
 
Debe sh. 50,000/= nakutumia hapo ulipo: Dar, Mbeya, Morogoro na Dodoma.
Kuanzia debe 10(ndoo ya plastic ya Lt 20)
sisi uku kwet wanauzaga kwenye vimfuko vidogo
sh.500 ambacho.ni.sawa na kikombe cha robo
lita sasa kwa debe makisio vinatoka kama 100
ivyo basi utapata 50000 hapo.haujanunua vimfuko
vyakufungia aisee
 
Dagaa fresh waliokaangwa, na kutiliwa limao, kitungui swaumu, chumvi, nk. hawana mchanga....wengine wananywea chai hao dagaa. Kimfuko shilingi 2500/=
 
IMG-20170311-WA0014.jpg
madini chuma (iron) kwa wingi,
 
nataka nianze hii.biashara hii ya dagaa nahitaji mtu anaeuza kwa debe ili me niwe nafunga kwenye vimfuko vidogo nakuuza 500,1000 nataka nijue bei ya debe
pia wadau naombeni mniambie kama hii biashara hii inalipa bado sijaifanyia utafiti
Mkuu hii biashara inalipa vizuri sana kwa baadhi ya maeneo hasa dar na dom.

Cha msingi tafuta kwanza wateja wa uhakika.

Mzigo unapatikana kwa sana tu ni mkwanja wako tu ulioandaa
 
labda kama dodoma kwa hiyo bei ya huy jamaa mimi niliko mfuko kama huo unauzwa buku lakini hazina chumvi ni mafuta tu labda ndo mana bei inakuw tofauti
 
Unaweza ukatafuta partners ukawa unawauzia alafu wenyewe ndio wanaenda kusambaza.

Mauziano yenu yanafanyika kwa vipimo vya uzito. Mfano 1kg unauza 8,000/= alafu yeye ndio anaenda kuuza kwa mafungu ambapo kwenye hiyo 1kg anaweza kufunga hata mafungu 13 ya 1,000/=…

Kwa kufanya hivi ndio biashara inaenda fasta kwa upande wako kwa sababu wewe hutakaa sana na mzigo.
 
hapa nimekupata wew dagaa unazo pia unapatikan wap
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom