Habari wakuu.Karibu ufurahie teknolojia mpya zitakazoongeza ufanisi,kupunguza gharama na kuongeza faida katika kazi zako.Tuna software mbalimbali kwaajili yako.Nazo ni:
-Accounting Package for...
Habari yenu wadau napangisha nyumba nzuri ya vyumba vitatu na jiko na choo ..Nyumba bado mpya inapangishwa kwa sh 170000/ kwa mwezi pia nyumba iko mbagala -charambe- majimatitu : 0714218952,0687116582
Kwa anayehitaji Dish la DSTV linapatikana Tabata kwa bei tajwa hapo. Haipungui hata mia.
Ninaliuza kwa kuwa nimekwisha acha kuangalia TV maiak miwili iliyopita (since then nakesha hapa JF, so I...
Nina shida ya haraka nauza Till yangu yya AIRTEL MONEY , inafanya kazi zote vizur ikiwa imeunganishwa na program ya kusajili Wateja.
Bei: 75,000 maongezi yapo.
Nipigie au Ni text: 0764586354...
Habari?
Chumba,sebule,jiko na choo inahitajika kwa haraka maeneo ya Magomeni Mapipa au Muhimbili...
Budget 150,000/= ila inaongezeka kulingana na hadhi ya nyumba..
Nijulishe kupitia 0766444050 au...
Heshima kwenu wote,
Nahitaji kusafirisha tiles box 75,kutoka Arusha kwenda Tanga mjini.
Kwa yeyote mwenye lori linaloleta mzigo Arusha nakurudi Tanga na mzigo kidogo au tupu hilo litanifaa zaidi...
Habari za muda wakuu.
Naomba kujuzwa kama naweza kupata privet hostel maeneo ya Kigamboni, utaratibu wa kupata upoje, vyumba vina ukubwa gani na ni gharama kiasi gani.
Tangazo la Semina ya Ujasiriamali itakayofanyika siku ya Jumamosi 25th/02/2017 Ukumbi wa Golden Rose Arusha Mjini Kwanzia saa 2:00 Asubuhi hadi 12:00 Jioni. Kiingilio Tsh.10,000/=
Semina hiyo...
Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza: Bangala, Kizigula na Mai Mai.
Walio na uwezo huo,tafadhali karibuni inbox.
Asanteni.
Make : Toyota
Model : Noah
Mileage : 110,183km
Engine size: 2000cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2000
Doors : 4
Seats : 8...
Make : Toyota
Model : Raum
Mileage : 69,900km
Engine size: 1,500cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2006
Doors : 5
Seats : 5...