dodoma real estates
Member
- Jan 18, 2017
- 77
- 12
Salaam..wandugu nna nyumba nyingine tena sokoni ipo Dodoma mjini meliwa..ukubwa wa kiwanja ni 25*33 haina fence ila ina grill na imepauliwa bado finishing tuu..umeme na maji ni uhakika bei 35 million call 0714140579 kwa maelezo zaidi