Tunasafisha masink yaliyofubaa

Tunasafisha masink yaliyofubaa

billionaire17

Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
31
Reaction score
43
Habari rafiki, kijana,ndugu,mfanyabiashara, wahitimu wa vyuo na watanzania wote kwa ujumla.
1.Je ungependa kuungana nami katika huduma mpya ya kusafisha sink za toilet, za kunawia na vigae kwa ujumla kwa kutumia vifaa vya kisasa?
2. Je unafahamu mahali/hoteli/shule/bar/ na sehemu nyingine kibao zenye sink zilizofubaa na zisizotamanika?
3.Je ungependa kuwa bussiness parter katika kutoa huduma hiyo?
Kifupi ni kwamba tumewaletea huduma mpya ya kusafisha sink, marumaru na vioo vilivyofubaa na kupoteza muonekano wake. Kwa kutumia dawa na vifaa vya kitaalam tunakurudishia sehemu hizo kuwa mpya kwa gharama nafuu sana, kuliko kupiga hesabu ya kuyatoa na kuweka mapya!
Usiogope kuwasiliana nami kama unahitaji huduma hiyo, mfano kwa sink moja ni bure kabisa, then tutaingia mkataba kwa sink zilizopo.
Kila sink linasafishwa ndani ya dakika tano tu na kurudi kuwa jipya.
Hatuuzi dawa za kusafishia bali tunatoa huduma za kusafishia
Popote ulipo wasiliana nami kwa 0625794904
8a27c14a7dfc517f0668e111ad2c69b9.jpg
6cd83d5ece609eef6289ee4241047c3b.jpg
05c48ee64e81a45b73de649a776c7b4e.jpg
0f11cda971086839ab6bacb4730a27a6.jpg
 
Kachukueni na tenda kabisa mashuleni.
 
Nakushauri ongeza na huduma ya kuzibua vyoo hiyo itaenda sanjari na huduma utoayo.
Kifupi wewe ni mbunifu.

Back
Top Bottom