Hello everyone !!
Natafuta mtu aniuzie simu yenye condition nzuri,used smartphone, brand ya #samsung
Bei isizidi laki 2.
Karibu PM kwa maongezi zaidi ya kujua location na kufanya biashara...
GTs wenzangu poleni na joto, nahitaji portable AC hasa za brand nzuri, nikipata BTU 14000 itakuwa bora zaidi ila hata 9000 kama kuna mtu unajua zinapopatikana.
Naongelea AC sio air coolers.
Salaam,
Ninahitaji mtu anayejua karate vyema ili anifundishie vijana wangu aged 7 & 12.
Hii ni katika kuwaweka fiti ili mtu akiwazingua huko mashuleni ama popote waweze kujitetea vyema.
Self...
Dental Clinic Management System provides user-friendly and comprehensive functions covering standard patient records, configurable treatments and billings, and integrated inventory, accounts and...
Habari wadau,
Unaweza ukapata neti nzuri sana kwa gharama ndogo ya elfu 60 na kulala usingizi mzuri na amani wakati wa usiku kwa gharama ndogo kama hii. Utaletewa popote Dar es salaam, na...
Je simu yako ni ya VODAFONE au HUAWEI na inatumia laini moja?
.Je ukiweka laini tofauti kwenye simu; Moja ya haya maneno yanajitokeza ????
Jipatie Unlock code kwa Tshs.7000
Huawei Ascend Y220...
Mwongozo kamili wa Whatsapp kuendesha biashara.
Je, wewe ni mfanya biashara wa kati au mdogo?
Kama simu yako ina whatsapp unaweza kuitumia kuendesha biashara yako.
Njia za kutumia Whatsapp...
Eneo LA hekari 10 lenye mwamba wa mawe lote linauzwa lipo mikese-morogoro na miamba yake ni ile imara inafaa kwa kuvuna mawe kokoto na changalawe na lina kibali yan PML toka wizara ya nishati na...
16 Machi 2017
Mshirikishe mwenzako
Haki miliki ya pichaLAND AND WILDLIFE.COM
Mji wote wa Tiller, katika jimbo la Oregon nchini Marekani unauzwa, bei yake ikiwa $3.8m (£3.1m).
Mji huo unapatikana...
Android version 6.0(marshmallow)
Camera-13 megapixle
Screen-5.2"
Battery-3000mAh
Ram-3gb
Internal memory-16gb
Cpu speed-1.5
Bei ya kuuza ni 530,000/
Sim ni mpya haijawahi tumika
Kwa mawasiliano...