Nanunua ngombe dume alienona kwa sh 40000 na mbuzi mkubwa kwa sh 7000 nipo mkoani morogoro

Edit unacho andika kabla ya kutuma mkuu. Kwa bei yako hiyo, hao aina ya mifugo unayoitamani huwezi pata hata kama malisho yameisha. Unachukulia yale maneno ya utani alosema kuwa tununue ng'ombe 3 kwa debe la mahindi?? Uliona wapi. Mkulima hana mpaka, atafika Africa Kusini na ng'ombe wake mkuu. Huoni Bukoba ilivyo vamiwa na Banyankole??
 
Back
Top Bottom