mozilla JF-Expert Member Mar 28, 2013 765 1,212 May 3, 2016 #1 Nauza Toyota Rav4 1999 model 5door Milioni 11.6 T 222 CGP Gari ipo vizuri, haijawai kugongwa wala kurudiwa rangi Call/Whatsap 0714521 128 0786 119 448
Nauza Toyota Rav4 1999 model 5door Milioni 11.6 T 222 CGP Gari ipo vizuri, haijawai kugongwa wala kurudiwa rangi Call/Whatsap 0714521 128 0786 119 448
Man Mvua JF-Expert Member Apr 12, 2016 2,183 3,521 May 3, 2016 #3 Kweli gari ipo vizuri sio siri and it's affordable price
Robot la Matope JF-Expert Member Apr 10, 2015 8,165 16,770 May 3, 2016 #4 Gari la 1999 Mwanangu kazaliwa 2000 sasa anaingia form V
kibarango Senior Member Sep 6, 2014 146 309 May 3, 2016 #6 br serious ipo 8 mil. sema ndiyo nikupigie. au nipm pesa iko within 24 hours
M mzee wa busara Senior Member Aug 13, 2011 181 86 May 14, 2016 #9 mkuu vipi kwa 9M kama inalipa tufanye biashara
Down To Earth JF-Expert Member Jul 8, 2011 21,873 16,493 Feb 23, 2017 #10 Robot la Matope said: Gari la 1999 Mwanangu kazaliwa 2000 sasa anaingia form V Click to expand... sasa inahusiana nini na hii bandiko mkuu?
Robot la Matope said: Gari la 1999 Mwanangu kazaliwa 2000 sasa anaingia form V Click to expand... sasa inahusiana nini na hii bandiko mkuu?