Kiwanja 1600sqm Bunju Kinauzwa

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,801
1,191
Kiwanja chenye ukubwa wa 1600sqm kipo bunju Kinauzwa.
Kipo upande wa Mog secondary.
Kiwanja kina hati halali kabisa
Kipo mkabala na hospitali binafasi kubwa inayojengwa eneo hilo.
Kipo kwenye kona.
Nyuma ya kiwanja hicho ni eneo la soko.
Bei ni TZS 65m, maongezi yapo.
 
Hauwezi kuuza eneo hilo mkuu. Wakati ule wa mzee wetu aliyepita sawa. Sasa fanya mpango adjust bei halaf tuzungumze
 
Sio lazima ununue,hili ni soko huria mkuu. Kaa kimya tu. Wanunuzi wanakuja pm na nawajibu vzr tu. Uhuru wa maoni lakini
 
Hauwezi kuuza eneo hilo mkuu. Wakati ule wa mzee wetu aliyepita sawa. Sasa fanya mpango adjust bei halaf tuzungumze
Sawa mkuu ila hiyo ni ofa yangu na ndio maana nilisema mazungumzo yapo. Karibu
 
Hakuna bei ya ivyo..... 65M.

Iyo hospital ambayo inajengwa na haijaisha na hauna uhakika km hospital + ilo eneo la soko na haujui km kweli litakaa soko...

Ivyo visikudanganye mshamba wewe.... utapeli hawafanyi mtandaoni...
M65 ni bei ya kiwanja mjini... sio bunju...
 
Bunju ya USA au hii hii ya Dar?

Bunju ya Darisalama viwanja vinauzwa kati ya Tshs. 19,000/= na Tshs. 22,000/= kwa square meter
 
Hakuna bei ya ivyo..... 65M.

Iyo hospital ambayo inajengwa na haijaisha na hauna uhakika km hospital + ilo eneo la soko na haujui km kweli litakaa soko...

Ivyo visikudanganye mshamba wewe.... utapeli hawafanyi mtandaoni...
M65 ni bei ya kiwanja mjini... sio bunju...
Sio bei ya kiwanja n bei ya uwanja mjn

Bei yake halali n mil 5 or 6
 
Sio bei ya kiwanja n bei ya uwanja mjn

Bei yake halali n mil 5 or 6
Soko huria, nioneshe kiwanja maeneo ya moga secondary kinachouzwa hata kwa 20m chenye ukubwa huo mie nivinunue hivyo viwanja vyote.
 
Soko huria, nioneshe kiwanja maeneo ya moga secondary kinachouzwa hata kwa 20m chenye ukubwa huo mie nivinunue hivyo viwanja vyote.
kwasababu n soko huria basi hata ka tecno kangu ka lak 2 naweza kauza mil 2 sio???

mauzo mema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom