Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 24,021
- 31,920
Nahitaji printer nina laki na nusu
yoyote ile mkuu ili inisaidie huku chuoPrinter aina gani?
Wewe upo wapiyoyote ile mkuu ili inisaidie huku chuo
nipo dar mkuu naishi tabata kimangaWewe upo wapi
0719094595 nitafute humo tufanye biasharanipo dar mkuu naishi tabata kimanga
Poa mkuu0719094595 nitafute humo tufanye biashara
Ndo nani mkuu ,mawasiliano yake je?Check na kevin isaya










+971523328490 mchek kwa whatsapp atakuagizia dubai kwa unafuu snNdo nani mkuu ,mawasiliano yake je?
mawasiliano yako je ?Lete laki uje uchukue ya kwangu. Ila imeisha wino. Utaenda hapo Mabibo Hostel wakujazie kwa sh elfu tano tu 'kichupa' kimoja...
Si mahali pakeNahitaji printer nina laki na nusu
mkuu ninashida na wino wa kujaza hata kwa zaidi ya hiyo 5000Lete laki uje uchukue ya kwangu. Ila imeisha wino. Utaenda hapo Mabibo Hostel wakujazie kwa sh elfu tano tu 'kichupa' kimoja...
Nenda pale Mabibo hostel ulizia wanapojaza wino utaoneshwa...mkuu ninashida na wino wa kujaza hata kwa zaidi ya hiyo 5000
0718950680