khalifa awe
Senior Member
- Sep 21, 2016
- 147
- 31
Habarini. Nahitaji Toyota hilax dabo kibin iliyopo kwenye hali nzuri iwe na usajili wa c au b ninalipa ml.6.3
Duh jamani mtanisaidiaje sasa?Kwa Namba hizo b au c andaa zaidi YA 15m tena hapo unafikiriwa kama utaki unafukuzwaaaa[emoji125][emoji125]
Sasa kwa zaidi YA miaka 3 kuanzia uhuu mfumo uanze si utapigwa fine ndefu YA motorvehicle stik... Kama cc ni zaid YA 1500 kwa mwaka kodi na penat si chini YA. 280,000/= na hiyo gari kama ni TZA 213 sijui IPO katika hali gani kama IPO dar chumvi itakuwa ishafanya mambo yake.Mimi ninayo namba TZA 213, sikuwahi kuweka namba Mpya za mfumo wa T....
Usishangae mkuu mwezi uliopita kuna ndugu yangu amenunua hilux double cabin used 1997. Show room za dar ametoa zaidi YA 30m. Na gari aijasimama kivile. Mwingine mkulima ifakara last year Dec amenunua hilux single cabin 2000 tuliagiza $7700 hadi DSM port weka ushuru na mambo mengine ilifika > 24m.... kiujimla haya magari yamepanda bei Sana kutokana na vita vinavyoendelea duniana kwa nchi maskini wapiganaji wengi wanayatumia kama magar YA kivita.Dah nimeishia kushindwa kushangaa!
Hiyo si bei ya Suzuki carry!Habarini. Nahitaji Toyota hilax dabo kibin iliyopo kwenye hali nzuri iwe na usajili wa c au b ninalipa ml.6.3
Usishangae mkuu mwezi uliopita kuna ndugu yangu amenunua hilux double cabin used 1997. Show room za dar ametoa zaidi YA 30m. Na gari aijasimama kivile. Mwingine mkulima ifakara last year Dec amenunua hilux single cabin 2000 tuliagiza $7700 hadi DSM port weka ushuru na mambo mengine ilifika > 24m.... kiujimla haya magari yamepanda bei Sana kutokana na vita vinavyoendelea duniana kwa nchi maskini wapiganaji wengi wanayatumia kama magar YA kivita.