Location ni wapi sema uwe wazi mbona kilomita tu vipi iko porini kama ni ndolezi, changarawe, kinyanambo, luganga, weka details za kutosha na mapicha mengi,Nyumba yenye vyumba 8 na kiwanja heka moja inauzwa ipo mafinga Iringa km 4 kutoka barabara kuu iendayo dar na km 3 kutoka kambi ya jeshi ya mafinga bei milioni 35 tu kwa wanaohitaji tuwasiliane kwa namba 0765873325.
weka picha kwa mapana yake nje na ndaniLuganga mkuu