Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza iPad 2 hii...tsh. 350,000 napatikana mikocheni, Dar... Specs: 12gb memory, uses sim card Whatsapp: 0624132227
0 Reactions
5 Replies
900 Views
Wakuu salaam na poleni na majukumu ya kujenga Taifa letu. Kampuni ya Jajojo tunanunu mahindi kwa wingi, Kama wewe ni muuzaji tuwasiliane na vilevile tunauza unga wa sembe na dona safi sana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa wale wote wanaotafuta mwalimu gwiji na mbobezi wa kufundisha na mbinu za kifauhulu mitihani niko hapa. Nafanya kazi za mtu binafs lakini pia nina education centre.(HIGH VISION EDUCATION...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Nauza vifaa tajwa hapo juu Hp adapter imetumika mwezi mmoja tu bei ni sh 20000/= DVD rom yaani mlango wa computer pia upo vizuri unaweza kuutumia kuban cd mbalimbali bei ni sh...
0 Reactions
3 Replies
950 Views
Kipo Madale Flamingo barabara inayokwenda Kwetu Sekondari, ni eneo lililopimwa kwa makazi ya watu. Hakijakatiwa hati bado, Kina ukubwa wa hatua 25x30. Kinafikika kirahisi kwa gari na umeme...
0 Reactions
4 Replies
718 Views
Habari zenu wadau, Naomba kujulishwa soko la bata maji kwa hapa dar wapi naweza kuwauza.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Natafuta chumb chakupanga maeneo y Big brother mabibo....nyumba isiwe na wanafunzi wengi wanakelel sana hawa bajeti 50k ikiwezekana iwe na watu wachache ASANTENI
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Nauza laptop compac kwa anayehitaji tukutane pm
0 Reactions
2 Replies
734 Views
JDM PRODUCTS ni waandaaji,watengenezaji na wauzaji wa asali halisi mbichi pure from forest ni wauzaji wa wanaoendana na soko la dunia ni asali inayopatikana misitu ya asilia SINGIDA!inapatikana...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Samsung min ipo kweny hali nzuri kabisa Imetumika mwezi 1 tu toka itoke sokoni/dukan Specification nzuri ambazo ni 2gb,500hd inte atom infact mashine ipo bomba mbayaaa Inatunza charger 9hrs...
0 Reactions
2 Replies
650 Views
Utapewa mafundisho ya namna ya kufanya na kuanza bure bila malipo! Tuwasiliane kwa namba 0756688789,au kwa njia ya whatsapp kwa namba hii hii 0756688789.Karibu tupeane taarifa ili tujikomboe...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Hatuhitaji qualification zozote za vyeti ila awe mtundu katika kazi vyetu kwetu ni makaratasi tu utundu wako ndo mpango mzima.malipo kwa kila kazi utakayofanya.karibuni
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu. Nipo Kigamboni ,natafuta msambazaji wa viungo niweze kumuagiza. Namba:0713-039875
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wana jamvi..nitumai mu wazima..nyumba nzima inapatikana dodoma mjini mteja wa haraka sana..nyumba ina vyumba vinne vitatu master kimoja cha kawaida..sebule moja..dinning room moja..jiko na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Jamani nataka kujua bei ya LG G3 ni bei gani dukani?
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Simu iko fresh sema housing ya kubadil ila pia ina screen protector ya Glass bei ni 150,000 maongez yapo karibuni
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Je simu yako ni Huawei Ascend Y220 Y221 Y320 Y321 Y360 Y511 Y520 Y600 Vodafone VFD200 V200 VFD300 V300 VFD500 V500 VFD501 V501 V696 V700 Alcatel Alcatel One Touch OT-1012 U Alcatel One...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Kloiler sh 1,800 Black Malawi 1,700 Saso 1,700 Chotara 1,700 Layers 1,500 Broiler 1,300 Mayai yakienyeji trey sh 12,000 Vifaranga vyote tunauza kwanzia 100,Tunatoa maelekezo/elimu juu ya afya ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye subwofa aina yoyote naihitaji na bajeti ni elf 30 za kitanzania ila maongezi yapo kulingana na hali ya kifaa chenyewe
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…