Mahindi = Jajojo

Jajojo

Senior Member
Sep 1, 2015
155
95
Wakuu salaam na poleni na majukumu ya kujenga Taifa letu.

Kampuni ya Jajojo tunanunu mahindi kwa wingi, Kama wewe ni muuzaji tuwasiliane na vilevile tunauza unga wa sembe na dona safi sana. Sembe na dona ya Jajojo hauhitaji kuchekecha. Wasiliana nasi kwa bei ya jumla na rejareja.

Tunawashukuru sana wateja wetu na wateja watarajiwa.

www.jajojo.com
jajojo@jajojo.com
 
mh hiyo story ya ugali kwenye web very boring khaa andikeni vya maana na kwa kiswahili
 
mind u hamuandiki kwaajili yenu, jaribu kutembelea web nyingine za biashara kama yenu uone utofauti, simaanishi mfanane ila duh sor nway
 
Weka bei ya Sembe kwa jumla!
Kama nahitaji tani 10 utaniuzia mfuko mmoja wa kilo 25 kwa bei gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom