mtu kama wewe
New Member
- Mar 18, 2017
- 2
- 0
Samsung min ipo kweny hali nzuri kabisa
Imetumika mwezi 1 tu toka itoke sokoni/dukan
Specification nzuri ambazo ni 2gb,500hd inte atom infact mashine ipo bomba mbayaaa
Inatunza charger 9hrs zaid ya power bank