Hp adapter na DVD rom(mlango wa computer)

Khaleed Shaban

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
399
58
Habari zenu wakuu
Nauza vifaa tajwa hapo juu
Hp adapter imetumika mwezi mmoja tu bei ni sh 20000/=
DVD rom yaani mlango wa computer pia upo vizuri unaweza kuutumia kuban cd mbalimbali bei ni sh 25000/=
Nipo dar es salaam
Mawasiliano namba 0656899091
NB:kisimu changu hakina uwezo wa kuapload picha
Maongezi yapo
 
Back
Top Bottom