Natafuta msambazaji wa viungo vya chakula

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,350
2,054
Habari wakuu.
Nipo Kigamboni ,natafuta msambazaji wa viungo niweze kumuagiza.
Namba:0713-039875
 
Samahani, sijakuelewa mkuu. Una maana unahitaji viungo ama unazo unatafuta soko kwa kushirikiana na msambazaji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom