CHUMBA CHAKUPANGA

tunage

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
252
168
Natafuta chumb chakupanga maeneo y Big brother mabibo....nyumba isiwe na wanafunzi wengi wanakelel sana hawa bajeti 50k ikiwezekana iwe na watu wachache ASANTENI
 
Ukitaka masharti yote hayo ufanikiwe usiweke bajeti ya hela. Sasa unawapangia watu kikomo cha hela na masharti juu jamani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom