Chambuso2017
Member
- Feb 14, 2017
- 50
- 22
Kipo Madale Flamingo barabara inayokwenda Kwetu Sekondari, ni eneo lililopimwa kwa makazi ya watu. Hakijakatiwa hati bado, Kina ukubwa wa hatua 25x30. Kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Bei Tsh 6.7M. Kwa maelezo zaidi nicheki PM.