Nahitaji used subwoofer

Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,574
3,635
Mwenye subwofa aina yoyote naihitaji na bajeti ni elf 30 za kitanzania ila maongezi yapo kulingana na hali ya kifaa chenyewe
 
Kama upo Dar nenda Kariakoo jengo la Simba utaambaa nalo ukilimaliza kuna njia imeingia kushoto ina ngazi na tiles (utakua kama unalizunguka jengo).

Ukiimaliza hiyo njia utakuta maduka mengi yanauza hivyo vitu, kwa 50,000 utapata sub woofer mpya. Ina nguvu lakini ni version ndogo za kubwa ya sub woofer husika.

NB. Nilikua nanunua kabla kodi hazijapandishwa sijajua kama bei zimebadilika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom