House4Rent Nyumba nzima inapangishwa dodoma mjini

Jan 18, 2017
77
12
Salaam wana jamvi..nitumai mu wazima..nyumba nzima inapatikana dodoma mjini mteja wa haraka sana..nyumba ina vyumba vinne vitatu master kimoja cha kawaida..sebule moja..dinning room moja..jiko na store.. ina fence..ina parking kubwa ya nje na moja ya ndani..umeme na maji pamoja na peving..tiles na gypsum board..feni nk..
kodi kwa mwezi ni 350000tshs ina taka kuanzia miezi mitatu..
Mawasiliano 0714140579
20170324_113733.jpg
20170324_113130.jpg
20170324_113221.jpg
20170324_113730.jpg
20170324_113103.jpg
 
nyumba nzuri na bei nzuri.. watumishi wa serikali wanaokuja dodoma wataichukua... ingekuwa dar hiyo na eneo zuri fasta umeshapangisha hata kwa 500,000
 
aisee, unanfanya nishindwe malizia nyumba yangu!

Kwa uzuri woote huo unapangishwa kwa 350,000! Dah, ngoja ninunue viwanja tu hapo dom ntaviuzaga baadae
 
kama unajenga kwa ajili ya kuishi malizia nyumba yako mkuu kama kwa ajili ya kupangisha.. bora hela uwekeze kwenye viwanja biashara ya kupangisha nyumba inalipa pole pole sana.. inaweza fika hata miaka 20 bado hujarudisha hela

aisee, unanfanya nishindwe malizia nyumba yangu!

Kwa uzuri woote huo unapangishwa kwa 350,000! Dah, ngoja ninunue viwanja tu hapo dom ntaviuzaga baadae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom