NATAFUTA MAFUNDI GEREJI WA BODY NIPO BANDA MBILI ARUSHA

kidome

Member
Jan 5, 2014
80
40
Hatuhitaji qualification zozote za vyeti ila awe mtundu katika kazi vyetu kwetu ni makaratasi tu utundu wako ndo mpango mzima.malipo kwa kila kazi utakayofanya.karibuni
 
Upo banda mbili sehem gani? Toa maelezo yaliyokamilika mkuu
Usipende kuhiachia sana mitandaoni na kumuamini kila mtu,ohoooo watu wanasakwa.

Unataka kuniambia tangu umejiunga na JF hujawahi kuikashif srkul? JIPELEKE
 
Back
Top Bottom