napata wapi lile koti la kizibao kama analovaa Gwajima

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
Wakuu
Nimevutiwa sana na aina ya kizibao anachovaa mchungaji gwajima!

Fundi gani mtaalamu hapa jiji anaweza nitolea kopy ya kizibao kama cha bishop gwajima

Vipi gharama yake, itapendeza zaidi nikielekezwa mahali kabisa anaponunua Gwajima
 
hqdefault_live.jpg
 
Hizo nguo ni maarufu kwa wanasiasa wa Kihindi, Nenda kwenye maduka ya Wahindi utazipata
 
Wakuu
Nimevutiwa sana na aina ya kizibao anachovaa mchungaji gwajima!

Fundi gani mtaalamu hapa jiji anaweza nitolea kopy ya kizibao kama cha bishop gwajima

Vipi gharama yake, itapendeza zaidi nikielekezwa mahali kabisa anaponunua Gwajima
0786 187399... namba ya mke wa Gwajima, mwombe akuunganishe na mumewe.
 
Wakuu
Nimevutiwa sana na aina ya kizibao anachovaa mchungaji gwajima!

Fundi gani mtaalamu hapa jiji anaweza nitolea kopy ya kizibao kama cha bishop gwajima

Vipi gharama yake, itapendeza zaidi nikielekezwa mahali kabisa anaponunua Gwajima
Aisee yaani wewe upo kama mimi, mwenyewe naomba fundi mtaalamu kwa ajili ya kile kizibao, niandaliwe cha blue na chekundu
 
Wakuu
Nimevutiwa sana na aina ya kizibao anachovaa mchungaji gwajima!

Fundi gani mtaalamu hapa jiji anaweza nitolea kopy ya kizibao kama cha bishop gwajima

Vipi gharama yake, itapendeza zaidi nikielekezwa mahali kabisa anaponunua Gwajima

Mimi natafuta ila iwe inaumruhusu kitambi .....
 
Back
Top Bottom