Nimenunua line ya uwakala ya VODA kwa mtu nikawa naifanyia kazi kwa muda tu mrefu kidogo na kwabahati mbaya ofisi yangu ikawa na migogoro ikawa ikawa haifanyi kazi kwa muda ikaja ikafungiwa na wakala mkuu wa hiyo line simfahamu na nimenunua kwa mtu tu na katika hiyo line kuna pesa lengo kubwa ya hii thread nitawezaje kumjua wakala mkuu wa hii lini ili niweze kuifungua na kuweza kuipata pesa yangu or kama kuna njia yoyote naombeni munijuzee nimekwama natumai wapo watakao nisaidia.Ahsanten