MALIMI MESHACK
Member
- Mar 30, 2017
- 16
- 0
Habari za jioni wadau,anayejua kuhusu bei za vitenge aina zote na jinsi zinavyouzwa kuna mtu yupo mkoani kaniuliza anataka kujua ili aangize,naomaba msaada wenu ili ajue na kama akiagiza yeyote aliyeko dar nitamtafuta ili aniuzie akikubaliana na bei hiyo.