wapi nawezapata screen(kioo) ya lg inch 32 flat.

BigBaba

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,908
9,040
wakuu habari za majukumu. Wakuu tv yangu Lg inch 32 led imevunjika kioo. hivi naweza pata wapi kioo na kitanigharimu shilingi ngapi.

asanteni
 
wakuu habari za majukumu. Wakuu tv yangu Lg inch 32 led imevunjika kioo. hivi naweza pata wapi kioo na kitanigharimu shilingi ngapi.

asanteni
Ni ibox your no.tuwasiliane naweza kukupatia hiyo display
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom