SOFTWARE Mashine ya EFD inatafutwa

Maque

Member
Oct 13, 2014
98
25
Habari wana jf,
Rafiki yangu ana Biashara na hivyo anahitajika kununua mashine ya EFD ila hana uwezo wa kununua hivyo anatafuta kama ataweza kupata kwa mtu ambaye alinunua na baadae akafunga biashara ili amrudishie pesa kidogo kwa kadiri watakavyokubaliana.
Asanteni.
 
EFD haziuzwagi kama simu ndugu yangu. Sitakuelezea zinavyofanya kazi bali nikuambie tu kwamba kila EFD ina Serial Number na TIN number na zinajumuika kutengeneza namba inayoitwa UIN (TinYaMuuzaji +TinYaMwenyeMashine+SerialNumberYaMashine) Hizo details hazibadilishwi kirahisi kama unavyodhani.

Tafuta EFD mpya ya bei rahisi uepuke usumbufu
 
Mkuu EFD hazina ujanja ujanja mkuu,ikishapata UIN basi imetoka hiyo huwezi kuiuza tena,binafsi nauza hizi mashine za EFD nitafute upate mashine nzuri brand ya perfect kutoka SOFTNET.

Nicheki mkuu.
 
Asante kwa kuongezea.
 
EFD haziuzwagi kama simu ndugu yangu. Sitakuelezea zinavyofanya kazi bali nikuambie tu kwamba kila EFD ina Serial Number na TIN number na zinajumuika kutengeneza namba inayoitwa UIN (TinYaMuuzaji +TinYaMwenyeMashine+SerialNumberYaMashine) Hizo details hazibadilishwi kirahisi kama unavyodhani.

Tafuta EFD mpya ya bei rahisi uepuke usumbufu

Shida ni bei, 700,0000 na ... ngoja nimwambie ajikusanye tu, mfano ukinunua halafu ukashindwa biashara, hakuna jinsi yakurudisha sokoni?
 
Mwenye kujua bei ya hizo mashine za EFD basi atuhabarishe na sisi wengine tupate faida na si mtu kutengeneza mazingira ya kufuatwa pm
 
Habari wana jf,
Rafiki yangu ana Biashara na hivyo anahitajika kununua mashine ya EFD ila hana uwezo wa kununua hivyo anatafuta kama ataweza kupata kwa mtu ambaye alinunua na baadae akafunga biashara ili amrudishie pesa kidogo kwa kadiri watakavyokubaliana.
Asanteni.

EFD ni bure, wasiliana na TRA.
 
Shida ni bei, 700,0000 na ... ngoja nimwambie ajikusanye tu, mfano ukinunua halafu ukashindwa biashara, hakuna jinsi yakurudisha sokoni?
Haiwezi kurudishwa sokoni, kuna baadhi ya vitu ambayo vikishasajiliwa kwenye mashine na system ya TRA basi haviwezi kusajiliwa kwa mara nyingine. Kwamfano.
.. TIN
..SERIAL NO.
..IMEI ya machine
..Simcard iliyotumika.
..Memory Kuu ya Mashine.

Sasa mwenyewe fikiria, ili kumilikisha mashine kwa mtu mwingine utatakiwa kubadili hivyo vyote. Lazima itazidi bei ya mashine mpya.
 
Mwenye kujua bei ya hizo mashine za EFD basi atuhabarishe na sisi wengine tupate faida na si mtu kutengeneza mazingira ya kufuatwa pm
Bei zina varry kulingana na muuzaji na aina ya Mashine. So far baadhi ya mashine ni kama..
Datecs,Tremol, Daisy,Incotex,Fassy, RCH etc.

Kati ya hizo kuna Makundi matatu
...ETR--manual/handheld
...ESD-- computerized
...EFP --computerized/ mobile integrated.

Kwa suala la bei mtafute mhusika muuzaji siwezi kusema bei wakati hazipo fixed. Lakini ni kama alivyosema mleta mada , bei kwa mashine ndogo ni wastani wa 700,000/-
 
Shida ni bei, 700,0000 na ... ngoja nimwambie ajikusanye tu, mfano ukinunua halafu ukashindwa biashara, hakuna jinsi yakurudisha sokoni?
Wapo wanaouza kwa instalments mbili. Unalipa 350,000 kwanza then 350,000 baada ya miezi mitatu. Mimi nilinunua kwa awamu kutoka Advatech kusema ukwrli hio mashine haijawahi kunisumbua mwaka wa mbili huu unaenda wa tatu.
 
Back
Top Bottom